Bodi ya Utalii Kuthamini Wiki ya Simba 2024

 Kuelekea kwenye ufunguzi wa Wiki ya Simba 2024 iliyopewa jina la "Ubaya Ubwela," leo Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Imani Kajula, amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania, Ephraim Mafuru. Katika mazungumzo hayo, Mafuru amethibitisha kwamba Bodi ya Utalii itakuwa mmoja wa wadhamini wa sherehe hizi za Wiki ya Simba 2024, ambazo zitazinduliwa ndani ya Mbuga ya Mikumi.





Post a Comment (0)
Previous Post Next Post